SADIK: USAFI KWA WOTE
3 Mkuu
wa mkoa wa Dar esSalaam Said Meck Sadik (wa kwanza kulia), akifuatiwa na Meya
wa Manispaa ya Kinondoni Yusuph Mwenda, wakiwaongoza wananchi wa manispaa ya
Kinondoni kufanya usafi katika mto mlalakuwa kwa ajili ya kupambana na maradhi
yanayozalishwa uchafu
No comments:
Post a Comment