WAKUDATA: YAPANDA CHATI KWA KUCHEKESHA
Katuni maarufu ya wakudata inazidi kupanda chati baada ya idadi kubwa ya watu kuomba kukutana na mchoraji wa katuni hizo Said Michael, ambazo zinaongoza kwa kutoa vionjo vya kuchekesha na kuburudisha kila siku kupitia gazeti la Tanzania Daima.
No comments:
Post a Comment