Monday, 2 June 2014

TIBAIJUKA ALIVYOMLILIA MDEE BUNGENI

Ni muendelezo wa mchora katuni bora Afrika Mashariki na Kati, Said Michael alivyomchora Anna Tibaijuka wakati akilia na Mwanadada Machachari bungeni Halima Mdee.