Friday, 9 May 2014




Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi, akimpongeza Mkurugenzi wa Shule za Msingi na Sekondari Tusiime jijini Dar es Salaam jana , Albert Katagira, baada ya shule hiyo kuwa mshindi wa kwanza kimkoa katika matokeo ya darasa la saba mwaka jana, ambayo pia  ilifanikiwa kutoa wavulana 10 bora na wasichana 10 bora kimkoa na kitaifa. 

No comments:

Post a Comment