VIONGOZI WA 'PANYA ROAD' MBARONI
Kamishna wa Kanda Maalum ya Mkoa Dar es salaam
Suleiman Kova akiwaonesha waandishi wa habari picha ya viongozi 7 wa kundi la
uharifu maarufu kama “Panya road” waliokamatwa jijini Dar es salaam juzi katika
msako uliofanyka maeneo ya kigogo.
No comments:
Post a Comment