Saturday, 3 May 2014

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Sophia Simba akipokea  vipeperushi na fomu  za bima mpya ya elimu kutoka kwa  Meneja  masoko wa Kampuni ya Bayport  Tanzania Ngula Cheyo, juzi mara baada ya uzinduzi  wa  huduma hiyo 

No comments:

Post a Comment