Wednesday, 7 May 2014





Wakazi wa eneo la Mongo la Ndege wakiwa wanapita katika kivuko cha muda baada ya daraja lao kubomoka, ujenzi ambao umewezesha na Mganga wa Tiba Asili, Abdallah Mandai, kwa gharama ya shilingi Milion Mbili.

No comments:

Post a Comment